Mayasa Mrisho ‘Maya’ amezuiwa kunywa pombe baada ya kuangushiwa maombi na kushauriwa kubadilika kitabia

Muigizaji wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’.

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amezuiwa kunywa pombe baada ya kuangushiwa maombi mazito na kushauriwa kubadilika kitabia.

Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, juzikati Maya alifika katika kanisa moja lililopo Mbezi jijini Dar na kuombewa kisha mchungaji wa kanisa hilo akamzuia kunywa pombe.

Kazuiwa lakini najua kwake itakuwa mtihani, sidhani kama ataacha kweli,” kilisema chanzo hicho.

Alipotafutwa Maya, alikiri kuombewa lakini alipotajiwa suala la kuzuiwa pombe na kama ataweza kweli kuacha, alikata simu ghafla.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s