Msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ajutia kutosa penzi la Dr Cheni

MSANII wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amesema anajutia kitendo chake cha kumtolea nje staa wa filamu Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ pale alipotangaza nia ya kutaka kumposa na kujiona bado mdogo.

Akipiga stori na paparazi wetu, Bozi alisema kuwa, miaka mingi iliyopita, akiwa ametoka kuchezwa unyago, mkongwe huyo wa sanaa ya maigizo alitinga nyumbani kwao kwa lengo la kumuoa na kukubaliana na wazazi wake, akamletea pozi.

Dah! Sa hizi ningekuwa nimetulia kwenye ndoa yangu na Dk. Cheni sababu wazazi walikubali, sasa maringo yangu yameniponza,” alisema Bozi.Alipotafutwa Dk. 

Cheni kuhusiana na ishu hiyo, alikiri kumfahamu Bozi kama msanii lakini hakumbuki kama aliwahi kumtaka.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s