BBHotshots: Idris apeta, Samantha na Mr. 265 wayaaga mashindano

Mwakilishi wa Tanzania aliyesalia kwenye shindano la Big Brother Africa, Idris Sultan ataendelea kuipeperusha bendera ya nchi yake baada ya Jumapili hii kuokolewa na kura za mashabiki barani kote.

Hata hivyo Idris anaweza akawa amejeruhiwa kwa mara ya kwanza baada ya rafiki yake wa karibu, Samantha wa Afrika Kusini kuondolewa. Mrembo huyu ameungana na mwakilishi wa Malawi Mr. 265 kufungasha virago.

//platform.twitter.com/widgets.js

//platform.twitter.com/widgets.js

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s