Hiki ndicho alichokifanya Rapper Jay Z kwenye sherehe ya kuagwa shemji yake ‘Solange Knowles’

Alan Ferguson and Solange Knowles

Mwanadada Solange ambaye aliamua kuachana na maisha ya usela na kuridhia ndoa na Alan Ferguson anaingia kwenye headline nyingine kuhusiana na kilichojiri kwenye party ya kuagwa iliyofanyika jana Novemba 15, Marekani.

Beyonce alitokea kwenye party hiyo ya nguvu iliyofanyika Indywood Cinema Theatre, lakini Jay Z na mwanaye Blue Ivy hawakuhudhuria, japo Beyonce alionyesha mwenye furaha na tabasamu wakati wote mbali na familia yake kutoshiriki naye.

 Blue Ivy Carter and Jay-Z

Haijafahamika sababu ya Jay Z kutoshiriki katika sherehe hiyo, japo comments za watu wengi mitandaoni wanahisi ni ‘beef’ iliyokuwepo baina ya Jay na Solange lakini wao walishawahi kunukuliwa mara kadhaa na vyombo vya habari kwamba hakuna tofauti zozote baina yao.

“…. Mwisho wa siku familia huwa na matatizo na sisi hatuna tofauti na hiyo.. Tunapendana na katika yote sisi ni familia. Tumesahau kila kitu na tunaamini kila mmoja atafanya hivyo..”– Solange

Solange ana miaka 28 wakati Alan ana miaka 51, moja ya nukuu maarufu ambazo Solange amezisimamia ni ile inayopingana na masuala ya umri kwenye mahusiano ya kimapenzi;

“…Age is an issue of mind over matter. If you don’t mind, it doesn’t matter..”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s