Jacob Stephan ‘JB’ yupo mbioni kuandaa filamu inayohusu soka la Tanzania

Muigizaji mahari wa filamu, Jacob Stephan aka JB, amesema yupo mbioni kuandaa filamu kuhusu soka la Tanzania.

JB ambaye ni shabiki mkubwa Simba alisema hayo kwenye kipindi cha Kili Chart Show cha EATV baada shabiki mmoja kumuuliza kama ana mpango wa kufanya filamu ya aina hiyo.

Kwa sababu wengi wameguswa nitafanya tena filamu nyingine ya mpira, ambayo nitazungumzia moja kwa moja, mpira wa kitanzania, wazo lako nitalifanyiwa kazi na Jerusalem film,” alisema JB.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s