Video: Diamond, Shaa, Nameless na STL wala shavu la TV Show

Diamond, Shaa, Nameless na STL wataonekana kwenye reality TV show inayotarajiwa kuwa gumzo Afrika Mashariki, kwa mujibu wa mtandao wa Ghafla wa Kenya. Haijafamika jina la kipindi hicho lakini kuna uwezekano kipindi hicho kikawa ni Maisha Superstar ambacho ni mashindano ya kusaka vipaji vya kuimba. Kipindi hicho kitaoneshwa kwenye kituo cha Maisha Magic.

This will be the revolutionary Talent Search Show East Africa has ever had. For the first time viewers will experience the real science behind making a platinum selling music act,” wameandika Maisha Magic kwenye website yao.

Maisha Superstar is more than just a music talent show. It is the ultimate reality talent series designed to take 6 outstanding young musical acts on a dream journey to uncover the ultimate music SUPERSTAR.” 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s