Ngoma mpya ‘Nitampata Wapi’ yake Diamond Platnumz kuachiliwa rasmin kesho

Baada ya kusikiliza kionjo cha ngoma yake Diamond Platnumz ngoma iitwayo Nitampata Wapi, Msanii huyo ametangaza kuwa ngoma hiyo ataiachilia kesho kupitia mtandao wa mkito.

Japokuwa tiyari kwenye MTV ngoma hiyo imeshaonekana video yake, Diamond ameandika haya

Hakikisha unakaa karibu na Media zako Zote kesho Kuanzia saa Nne kamili Asubuhi Nikupe ile zawadi yako…huku ukiisubiria Mashine ya kuuaga Mwaka! #Ntampata_Wapi

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s