Banana Zorro aingia darasani kujifunza muziki wa Hip Hop, mwalimu ni Mwana FA

Banana Zorro anataka kuongeza kitu kipya kwenye muziki wake. Muimbaji huyo ameingia darasani kujifunza muziki wa hip hop na mwalimu wake ni Hamis Mwinjuma aka Mwana FA.

Banana amekiambia kipindi cha XXL, cha Clouds FM kuwa tayari ameshaanza darasa hilo.

Mimi naimba muziki wote lakini FA ananI-train Hip Hop,” amesema. “Moja sio kwamba nafanya ndo nitakachofanya. Experience watu soko linabadilika, limekua. Hata kurekodi bado hata hata training bado sijamaliza. Nauliza maswali na yeye ananipa style. Hakuna muziki unaouza zaidi ya muziki mwingine ila kinachotokea nyimbo nzuri yoyote inaweza kuuza zaidi ya nyimbo nyingine yoyote. Lakini pia imetengenezwa vizuri. Kikubwa ni kuwa creative kutokana na soko ndio linavyotaka na soko lipo tayari kwa kazi yoyote nzuri.”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s