Hiki ndicho alichojibu alikiba baada ya tuhuma za kutomtumia R.Kelly kujiongeza kimuziki

Mwana DSM hitmaker Ally Kiba kama unakumbuka alishiriki kwenye project ya ONE 8, ambayo baadhi ya wasanii wakubwa wa afrika waliteuliwa na kwenda nchini marekani, wakakaa studio moja na R. kelly, ambaye aliwaandikia ngoma “hands across the world” na waka record kuanzia audio mpaka video.

 Ndani ya ngoma hiyo kuna sauti za 2face, Ali Kiba, Amani, Navio, JK, Movaizhaleine, Fally ipupa
project ambayo ilisimamiwa na Rock Star 4000, na Sony Music.
sasa zengwe limeibuka hivi karibuni watu wakidai eti,  Ally Kiba hakuitumia nafasi hiyo kama fursa ya kuukuza muziki wake duniani

Nimetumia vizuri sana, ku ku unajua, unapokuwa, mfano wake ni kama, unapokuwa umenanii, sio kwmba eti eeh mmmmmh unakuwa eti  umefeli katika hilo swala. ukweli ni kwamba kipindi kile watu hawakuwa sana active kwenye social network na vitu vingine, wamebadilika bada ya miaka miwili iliyopita kwahiyo hiyo chance ingetokea sasa hivi nadhani kila kitu kingekuwa ni kitu kingine.

Na vilevile chance gani kama ipi unahisi sijaitumia?
Ok nakuuliza swali moja nanai kati ya sisi amefanya collaboration na R. Kelly tumeimba nae, hakuna! so yeah,  kulikuwa na mikataba na vitu vingi na kila mtu ana ratiba zake., wakati utakapofika tutufanya kwasababu tayari tumeshafanya kazi na kila kitu kipo kwahiyo ni process tu inaytakiwa ifatwe kumaliza hilo swala.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s