Video: Young Killer ft. Fid Q & Belle 9 – 13

Ni muunganiko wa wakali kutokea 88.1 Mwanza ambao baada ya watu kuusikia kwenye audio walibaki na hamu ya kuwaona pamoja kwenye video….. ndio hii imetoka tayari na imefanywa na director Nisher kutoka Arusha.

Ukishaitazama usiache kutoa yako ya moyoni ili Killer, Fid na Nisher wakipita hapa wasome kutoka kwa watu wao wa nguvu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s