Yamoto Band: Hatukutegemea kama tungekuja kupendwa hivi

Vijana wanne wa Yamoto Band wamekiri kuwa hawakuwahi kutegemea kama wangekuja kupendwa na kuwa na mashabiki kama walionao sasa. Wakiongea na Kikwetu Blog, wasanii wamedai kuwa walianza kwa kujaribu tu.

“Hatukutegemea kitu kama hiki, unajua mtu yeyote anavyoanza kuwa anajaribu kubahatisha kama kweli kinaweza kikatokea kitu kama hicho,” amesema Aslay.

“Lakini Mungu alivyokuwa mkubwa sisi nyimbo yetu ya kwanza tu tukaingia kwenye tuzo japokuwa hatukuchukua lakini ni njia ilionesha kuwa sisi tunaenda huko. Tumetoa ngoma ya pili wameelewa na ngoma ya tatu pia wameilewa.”

Kundi hilo linaundwa na Aslay, Enock Bella, Beka One na Maromboso

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s