‘Nitampata Wapi’ yake Diamond Platnumz yavunja rekodi kwaku pita video ya ‘Shekini’ yao P Square kwenye YouTube

Tumeshazoea kuona baadhi ya mastaa wa Afrika wanapoweka video zao kwenye youtube wanapata views nyingi ndani ya siku chache lakini Good news time hii imeangukia kwa mkali wa Tanzania.
Mmiliki wa hit single ya ‘Mdogo Mdogo’ Diamond Platnumz ameipiku video ya wakali wa Nigeria P Square baada ya kupata views nyingi ndani ya siku nne.

Video ya P Square  ‘Shekini’  iliyowekwa youtube Nov 17 ina views 286,165 huku Diamond ambaye video yake ‘Nitampata Wapi’ iliyoweka Nov 20 ina views 354,910.

Diamond Platnumz – Nitampata Wapi?:


P Square – Shekini:

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s