Zifahamu hapa tabia 5 hatarishi zinazosababisha upungufu wa nguvu za kiume

Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linaloongezeka sehemu mbalimbali hapa duniani. Ingawa huwatokea wanaume wengi, mara nyingi inakuwa ni muda mfupi na la kupita.

Kushindwa kusimamisha uume kunakoongozeka kadri siku zinavyooenda ni tatizo linahitaji msaada wa kitabibu haraka.

Tabia zifuatazo zinachangia kutokea kwa tatizo hili kwa wanume:

  • Uvutaji wa sigara na utumiaji wa bidhaa za tumbaku.
  • Unywaji sana wa pombe.
  • Kutofanya mazoezi ya mwili.
  • Kula vyakula visivyo na virutubisho; nafaka zisizokobolewa, vyakula vyenye mafuta kwa wingi, kiasi kidogo cha mboga za majani na matunda kwenye mlo.
  • Uzito wa kupitiliza (overweight).
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s