Sabby Angel amefunguka kuwa mwanamuziki Bob Junior ambaye ndiye mpenzi wake amembadilisha mavazi

Mtoto ‘Sabby Angel’ akiwa na Nanji ‘Bob Junior’.

MSANII anayekuja kwa kasi katika tasnia ya Filamu Bongo, Sarbrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa  mwanamuziki, Rummy Nanji ‘Bob Junior’ ambaye kwa hivi sasa ndiye mpenzi wake amembadilisha mavazi yake aliyokuwa akivaa awali kabla hawajawa pamoja.

Akizungumza na Amani, Sabby alisema kuwa mpenzi wake huyo mara nyingi anapenda ajitande nguo na kuwa mtoto wa Kiislamu kama asipokuwa katika ishu za kurekodi kwani anaamini kuwa binti wa Kiislamu anapaswa kuvaa kiheshima.

Nimekamatika sana, yale mavazi yangu ya awali nimeambiwa ‘stop,’ tukiwa katika mazingira ya kawaida ni lazima nijitande na nionekana haswa ni mtoto wa Kiislamu,” alisema  Sabby.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s