Jose Chameleone aungana na Watanzania kuhamasisha Afrika Mashariki impigie kura Idris ashinde BBA Hotshots

Shindano la Big Brother Africa Hotshots linaelekea katika hatua muhimu zaidi ikiwa sasa wamesalia washiriki nane akiwemo Idris anayeiwakilisha Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.

Msanii mkubwa Afrika Mashariki, Jose Chameleone wa Uganda ameonesha mfano wa kile kinachotakiwa kufanywa na wana Afrika Mashariki ili kumuwezesha Idris abaki mjengoni hadi siku ya fainali na hatimaye kurudi nyumbani (Afrika Mashariki) na ushindi.

Kupitia Instagram hiki ndicho Chameleone amepost:

Let’s VOTE for #IDRIS Tanzania. The Victory Belongs to East Africa!!!! Let’s VOTE #BBA HOTSHOTS Legoooo”

Katika post nyingine ameandika:

UG #1DJ and the Spin Master Legendary @djshiru Post>IDRIS UGANDA#We neva put all eggs in one Basket.EastAfrica the Victory is ours if we VOTE – let’s go IDRIS Time to vote. Uganda #@djshiru forward. Tanzania!!Love back- follow @djshiru tuasiliane”

Follow us on
Facebook: http://facebook.com/tubongetz
 Twitter: http://twitter.com/tubongetz
  Instagram: http://instagram.com/tubongetz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s