Mkuu wa polisi Kenya astaafu kutokana na shinikizo dhidi yake ajiuzulu kwa kushindwa kukabiliana na utovu wa usalama

David Kimaiyo

Mkuu wa polisi nchini Kenya inspekta generali David Kimayo ametangaza kustaafu mapema kutokana na shinikizo dhidi yake ajiuzulu kwa kushindwa kukabiliana na utovu wa usalama
Wakati huohuo Kenyatta amempendekeza waziri mkuu mpya wa usalama Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi ya aliyekuwa waziri wa usalama Ole Lenku.
Rais Kenyatta alisema kuwa baada ya mazungumzo na Bwana Kimaiyo alikubali kustaafu mapema kutoka kwa majuku yake.

Credit BBC

Follow us on
Facebook: http://facebook.com/tubongetz
 Twitter: http://twitter.com/tubongetz
  Instagram: http://instagram.com/tubongetz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s