Video: T.I.D Ft Naaziz – Pressure

‘Watasema Sana’ ni moja kati ya  hitsingle zilizowahi kutokea kwenye historia ya Bongofleva, ilimshika kila mtu aliyekuwa na mapenzi na muziki huu ambapo wahusika wakuu walioifanya hitsingle hiyo ni wakali kutoka Afrika Mashariki, Nazizi kutoka Kenya na TID kutoka Tanzania, hakika walifanya kazi nzuri iliyofanikiwa kupenya vizuri kwenye masikio ya wana Afrika Mashariki.

Taarifa ikufikie kwamba wakali hao wameirudia historia hiyo mwaka huu 2014 kwa kurudi tena studio kufanya kazi nyingine, TID na Nazizi kwenye hii nyingine inayoitwa ‘Pressure’,video imeongozwa na Cream Vision mavazi ya Nazizi yamezoeleka kwamba ni yale ambayo huwa yanavaliwa na wanaume lakini humu hali iko tofauti, unaweza kupata picha namna anavyoonekana ndani ya gauni?


Follow us on
Facebook: http://facebook.com/tubongetz
Twitter: http://twitter.com/tubongetz
Instagram: http://instagram.com/tubongetz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s