Zari amtangaza Diamond kuwa official guest artist kwenye part ya ‘Zari all white Ciroc’

Kupitia accout binafi ya Zari ‘Zari the Boss Lady‘ ametokea kumtangaza msanii wa kizazi kipya nchini Tanzania ambaya kwa sasa anatamba na ngoma ya ‘Nitampata wapi?‘ kuwa official guest artist kwenye part ya Zari all white CiricB’.


Zari amemtangaza Diamond Platnumz ikiwa ni siku chache tu baada ya wawili hao ambao wanadhaniwa kuwa wapenzi kutokana na ukaribu wao na baadhi ya picha za mahaba zilizonaswa mtandaoni kuzagaa na kuonekana karibu sana hasa kwenye tuzo za Chanel O Music and Video Awarda.


Kupitia account yake hiyo Zari ameandika haya:

Proud to announce Diamond Platinumz is our official guest artist at the ‪#‎ZariAllWhiteCirocParty‬ White is always pure, fab & classy. ‪#‎FeelingConfident‬ coz I see no competition….. 18th December 2014 @guvnoruganda.

Follow us on
Facebook: http://facebook.com/tubongetz
 Twitter: http://twitter.com/tubongetz
  Instagram: http://instagram.com/tubongetz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s