Idris kushinda $300,000 za Big Brother Jumapili hii? Afrika Mashariki yajiunga kumpigia kura kwa fujo!

Wanasema ni vyema kutumainia mema na kujiandaa kwa mabaya na wengine wanaonya kuwa ukiwa na matarajio makubwa usishangae kufedheheshwa kwa kiasi kikubwa pia.

Pamoja na misemo hiyo, ni wazi tuna kila sababu ya kuwa na matumaini kuwa kijana wetu Idris Sultan anaweza kushinda taji la Big Brother Africa, Hotshots. Tunaona jinsi ambavyo mastaa na watu wa kawaida katika nchi za Afrika Mashariki walivyo mstari wa mbele kusisitiza watu wampigie kura Idris.

Avril, Chameleone, Huddah Monroe, Vera Sidika, Prezzo, Annabel, ni miongoni mwa mastaa nje ya Tanzania wanaompigia debe Idris ashinde. Kwa haraka haraka, Idris ana uhakika wa kura za nchi nne, Tanzania, Rwanda, Kenya na Uganda.

Hakuna shaka kuwa Idris ni mshiriki mwenye nguvu na anayependwa zaidi mjengoni humo hivyo mambo yanaweza kuwa mazuri upande wa Tanzania mwaka huu.

Endelea kumpigia kura sasa kwaku bofya hapa VOTE FOR IDRIS.Follow us on Facebook: http://facebook.com/tubongetz Twitter: http://twitter.com/tubongetz Instagram: http://instagram.com/tubongetz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s