Video mpya ya Vanessa Mdee ‘Hawajui’ kutambulishwa kwa mara ya kwanza na MTV Base Jumatatu (Dec.8)

Vanessa Mdee anaingia kwenye orodha inayozidi kukua ya wasanii wa Bongo ambao video zao huanza kutambulishwa exclusive na TV kubwa za nje kwa mara ya kwanza.

Video yake mpya aliyoshoot Afrika Kusini ‘Hawajaui’ itatambulishwa kwa mara ya kwanza na MTV Base siku ya Jumatatu (Dec 8) kupitia ‘Spanking New’.

Kupitia Instagram Vanessa ameandika:

Monday FIRST ON BASE!!!!! #Hawajui saa kumi na mbili jioni “

Follow us on
Facebook: http://facebook.com/tubongetz
 Twitter: http://twitter.com/tubongetz
  Instagram: http://instagram.com/tubongetz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s