Mourinho awalaumu ‘ball boys’ kwa kipigo

Kocha Chelsea Jose Mourinho

Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho amelalama kuhusu upotezaji wa wakati baada ya timu yake kufungwa kwa mara ya kwanza katika msimu huu ugani Newcastle.
Mabao mawili ya Papis Cisse yaliiweka Newcastle kifua Mbele lakini baadaye mshambuliaji Didier Drogba akifungia Chelsea lakini bao hilo halikutosha.

Kuna mambo ambayo yalikuwa yakifanyika bila refa kuona.Hawezi kumwaadhibu kijana wa kubeba mpira ambaye alitoweka ghafla,ama mashabiki ambao wakipata mpira wanakaa nao ama hata kuutupa uwanjani wakati mechi inaendelea”.,alisema Mourinho.

Kilabu ya Newcastle iliona mlinzi wake Steven Taylor akionyeshwa kadi nyekundu wakati ambao Newcastle ilikuwa juu kwa mabao 2-0 lakini wakaendelea na kuvunja rekodi ya Chelsea ya kutofungwa msimu huu.

Follow us on
Facebook: http://facebook.com/tubongetz
 Twitter: http://twitter.com/tubongetz
  Instagram: http://instagram.com/tubongetz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s