Video: Chris Brown na Karrueche Tran waachana tena, Chris amtukana wakati aki performing

Chris Brown na Karrueche Tran wameaga tena mahusiano yao.
Wapenzi hawa ambao wamekuwa wakiungana na kuachana mara kwa mara wametangaza tena kuachana kwako.

Wakati Chris Brown akifanya performing na Trey Songz kwenye ‘Power 106’ ya Christmas kwenye Forum huko Inglewood ijumaa hii, Mwimbaji huyo wa Rn’B ameuambia umati wa watu kuwa yupo ‘single’ kwa mara nhyingine.
‘How many single ladies we got in here tonight?’ Hilo ni swali alilo uliza Breezy. ‘Weel, I’m single too. Fuck that bitch!”

Kisha akaendelea kwa kufanya perform ya wimbo wa ”Loyal” akiwa na Tyga ambao wimbo huo una lyrics zinazosema ”These hoes ain’t loyal”.

Pia Chris amepost pic akiwa backstage na Kylie na Kendall Jenner na Khloe Kardashian. ”Look who came to see me! Love them.” alivyo tweet Chris.

Karruech naye ame respond kwakuandika ”Niggas be in they feelings when you break up with them lol.”

//platform.twitter.com/widgets.js

//platform.twitter.com/widgets.jsWapenzi hawa walivyoachana mwanazoni wakarudiana.
Breezy alisema juu ya hisia zake kwa Karrueche mwezi wa August, na hata kuanza kufikiri kuwa familia moja ‘Ndoa’. ”@Karrueche damn near 5 years and this woman still putting up with my shit,” alisema. ”Need to have this baby and stop playing! Lol! My WCW.”

Follow us on
Facebook: http://facebook.com/tubongetz
 Twitter: http://twitter.com/tubongetz
  Instagram: http://instagram.com/tubongetz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s