Wenger: Safu ya ulinzi ilikuwa maji maji

Wachezaji wa Arsenal baada ya kufungwa na Stoke City mabao 3-2

Safu ya ulinzi ya Arsenal ilikuwa ”maji maji” sana dhidi ya Stoke wakati timu hiyo ilipolazwa kwa mabao 3-2 katika uwanja wa Bitania ,kocha Arsena wenger amesema.
The Gunners ilifungwa mabao matatu katika kipindi cha kwanza ,ikiwemo bao kwanza baada ya sekunde 19 kabla ya kuanza kuvamia lango la Stoke ili kulipiza.
Nadhani tulikuwa hatuna uzoefu wa siku nyingi katika safu ya nyuma,alisema.

Hatukuweza kuwachezesha Laurent Koscielny ama Nacho Monreal na nadhani tulikuwa ”lege lege”,kuhimili walichotukabili nacho.

Koscielny aliyeanza mechi mbili zilizopita alipumzishwa huku Monreal akiwa na jeraha.
Kierran Gibs alicheza kama beki wa kushoto naye calum Chamber akisaidiana na Per Mertesacker katika safu ya Ulinzi huku mchezaji mwenye umri wa miaka 19 hector Bellerin akianzishwa kama beki wa kulia.

Follow us on
Facebook: http://facebook.com/tubongetz
 Twitter: http://twitter.com/tubongetz
  Instagram: http://instagram.com/tubongetz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s