Diamond ashinda tuzo nyingine Nigeria ‘The Future Awards Africa’

Diamond Platnumz ameongeza idadi ya tuzo za kimataifa alizopata mwaka huu 2014 baada ya kushinda tuzo nyingine ya ‘The Future Awards Africa’ (TFAA) zilizotolewa huko Lagos, Nigeria Dec.7

Kupitia Instagram mwimbaji huyo wa single mpya ‘Ntampata wapi’ ameshare picha ya tuzo na kuandika:

Kama inavyoonekana kwenye picha, tuzo hiyo imeandikwa Nasibu Abdul “Diamond” Juma, Winner: The Future Awards Prize in Entertainment 2014.

Kwenye kipengele hicho Diamond alikuwa akishindana na Panshak ‘Ice Prince’ Zamani (Nigeria) na Michael Kwesi ‘Sarkodie’ Owusu (Ghana).

Burudani ni kipengele kimoja wapo katika tuzo hizo za vijana (TFAA). Vipengele vingine vilikuwa ni Kilimo, Elimu, Teknolojia nk.

The finalists were said to have been selected from the pool of outstanding individuals across various disciplines and nominated from all over Africa for this season of the awards – and have been assessed through a four-month process supervised by the Central Working Committee, Board of Judges and Independent Audit Committee.”- vanguardngr.com

Follow us on
Facebook: http://facebook.com/tubongetz
 Twitter: http://twitter.com/tubongetz
  Instagram: http://instagram.com/tubongetz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s