Diamond Platnumz aweka heshima nyingine hii kupitia video ya ‘Nitampata wapi’

Diamond Platnumz ana sababu nyingine ya kuendelea kufurahia mafanikio anayoendelea kuyapata kwenye muziki, baada ya kushinda tuzo ya TFAA za nchini Nigeria Dec.7 , video yake mpya ‘Ntamapata Wapi’ imevuka views milioni moja kwenye mtandao wa Youtube ndani ya wiki mbili.

Hadi leo Dec.8 video hiyo iliyowekwa Nov.20 tayari ina views 1,008,039.

Kupitia Instagram Diamond amewashukuru mashabiki wake na vyombo vya habari kwa kumfikisha kwenye hatua hiyo.

Shukran sana kwa Media zote, wadau na Mashabiki kwa support na Nguvu mnayozidi kunipa… 1 Million + Vews ndani ya Wiki mbili…. Nawashkuru sana!.. Shukran nyingi pia zikufkie bwana @i_am_godfather kwa Chupa hili…”

Follow us on
Facebook: http://facebook.com/tubongetz
 Twitter: http://twitter.com/tubongetz
  Instagram: http://instagram.com/tubongetz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s