Vanessa Mdee akosolewa kwa ku promo kampuni ya rangi kwenye video mpya ‘Hawajui’

Baada ya Vanessa Mdee kuachia video yake mpya ‘Hawajui’ iliyotambulishwa kupitia kituo cha MTV Base Dec.8, mashabiki mbalimbali wametoa maoni yao huku wakiwemo waliompongeza na wengine waliomkosoa kwa mapungufu ambayo wao wameyaona.

Miongoni mwa vitu ambavyo amepongezwa zaidi Vee Money kwenye video hiyo iliyoongozwa na director aitwaye Nicky Campos na kufanyika Afrika Kusini, ni mavazi yake ya Kiafrika yaliyowavutia wengi.

Katika comments nyingine wengi wameonekana kutoridhishwa na jinsi kampuni ya rangi zilizotumika kwenye baadhi ya scenes za video hiyo, ambayo kama sio makubaliano ya kibiashara yaliyofanywa basi itakuwa imepewa promo ya bure kiasi cha mpaka mashabiki wameijua jina kutokana na brand yake kuoneshwa kwenye kichupa hicho.

Hizi ni baadhi ya comments kupitia channel yake ya Youtube:

Esther Jerome
I need to be straight up honest and say, normally when products are advertised on a video, I am first to catch it. However, in this case… I only noticed the Crown Paints after reading the comments. I just figured she was having a good time with her mum, which do correlate to the lyrics of the song. Meaning, that particular scene made sense to put in the video, plus booboo is making her coins. Good for her!

Nimrodi Ajuaye
Umejitahidi sana,mbona wakina ciara wanatangaza perfumes na Sony smartphones kwenye video zao na hamusemi??

Ngala Jilani
hii sio music video…ni tangazo la biashara la crown paint….too much advertising…hahahaha sasa huu wimbo na kupiga rangi wapi na wapi,…

Elise Elly
Love this song and I wasn’t disappointed with the video! Good job veemoney!

Desiderius Mdamu

More of Crown paints advert, NOT GOOD ENOUGH FOR INTERNATIONAL MARKET

patrice ssentongo
Oh my God is this a music video or. Crown paint advertising?
Awesome n nic video

Ramadhani Yusuph
The video is normal it’s beyond the expectations I thought she would done something better than this

Twaha Siles
Video sikuitarajia kama itakuwa hv nilijua itakuwa kama drama fulani hv

Simon Gidion
It’s too much advertisement concerning crown painting….by the way ts good video,good job keep it up my sister

Liz Njo
Your African outfit on point honey!!! Love the video and its message. East Africa represent!
shamshurdinionea shamdayzo
umejitahidi bi dada!!!sema mpunguze root za s.africa wakati location kma hizo ata bongo zipo mi nilijua uanafata maghorofa kumbe mirangi si ungeenda gord star ama colour paints

Sue
yeaaaah !!! So fresh #VeeMoney

Follow us on
Facebook: http://facebook.com/tubongetz
 Twitter: http://twitter.com/tubongetz
  Instagram: http://instagram.com/tubongetz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s