Picha: Mbali na skendo ya mkanda wa ngono, Zari afurahia likizo na wanae

Kuvuja kwa mkanda wake wa ngono hakujamzuia Zari ‘the Bosslady’ Tlale kufurahia muda bora na wanae wakati huu wa likizo za sikukuu za Christmass. Zari mwenye watoto watatu, ameonesha kutoyumbishwa na kusambaa kwa mkanda huo na leo amepost picha akiwa na wanae wakifurahia chakula pamoja.

Current situation…… school is closed most offices are closed, time to spend more quality times togther ‪#‎HolidayModeActivated‬,” ameandika Zari kwenye picha alizoweka kwenye ukurasa wa Facebook.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s