Kwa mara ya kwanza mshindi wa Big Brother Hotshort 2014, Idris Sultan aelezea mahusiano yake na Lulu

KWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo, Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshort (2014), Idris Sultan amemfungukia mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kudai ni rafiki yake wa karibu.

Kabla mshindi huyo hajakanyaga Bongo, Lulu alishambuliwa mitandaoni baada ya kujinadi kuwa na urafiki wa karibu na Idris lakini kwa kauli hiyo, imeonesha dhahiri wawili hao ni marafiki wa kweli tofauti na mitazamo ya wadau mitandaoni.

Lulu ni rafiki yangu wa muda mrefu, hakuna kingine zaidi ya urafiki. Tutaendelea kuwa marafiki hata baada ya ushindi huu,” alisema Idris, juzi alipokuwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam (The Kilimanjaro).

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s