Beyonce anasema anatamani angekuwa na uwezo wa kuamka na kutembea mtaani kama mtu mwingine yeyote, lakini umaarufu alionao unamfanya asiishi maisha anayopenda. Kwenye filamu hii fupi, aliyoipa jina ‘Yours and Mine’ Bey anasimulia maisha aliyokulia na mambo mengi. Mcheck.
Advertisements