Samantha ‘swahiba wa Idris Sultan’ wa Afrika Kusini kutua Tanzania kesho kula bata na Idris

Mashabiki wa muungano wa pamoja kati ya mshindi wa Big Brother Hotshots, Idris Sultan na swahiba wake Samantha wa Afrika Kusini watawaona tena wakiwa pamoja kuanzia kesho.

Mrembo huyo anatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam, kesho Jumatatu. Awali alikuwa atue Jumapili hii lakini alichelewa ndege.

//platform.twitter.com/widgets.js Hii ndiyo tweet yake baada ya kuachwa na ndege.

//platform.twitter.com/widgets.js Ujio wake hapa Tanzania ni baada ya kualikwa na swahiba wake ‘Idris.

//platform.twitter.com/widgets.js Idris alijishindia dola $300,000 ambazo ni takriban shilingi milioni 514.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s