Video na Picha: Bifu limeisha! Davido na Wizkid wakutana uso kwa uso na kula bata pamoja

Hatimaye mastaa wa Nigeria Davido na Wizkid wamethibitisha hadharani kuwa sasa hali ni shwari kati yao, baada ya kukutana uso kwa uso na kuonesheana upendo kwa kukumbatiana huku kila mmoja akionesha kufurahia kukutana kwao.

Wizkid na Davido wamekutana weekend iliyopita katika Escape night club huko Ilorin, Nigeria ambapo walikula bata pamoja katika club hiyo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s