Waliosajiliwa na waliotemwa Yanga na Simba katika dirisha dogo

Dirisha dogo la usajili katika ligi kuu Tanzania Bara lilifungwa rasmi mnamo saa sita usiku wa kuamkia tarehe 16. Siku ya mwisho ilishuhudia klabu na Simba na Yanga zikiwa katika hekaheka za kuhakikisha zinaboresha vikosi vyao tangu kumalizika kwa mchezo wa Nani Mtani Jembe siku ya Jumamosi. Hivi ndivyo usajili ulivyokuwa.

Simba:

Waliosajiliwa:

Juuko Murshid
Dan Serunkuma
Simon Serunkuma
Hassan Ramadhan Kessy

Waliotemwa

Pierre Kwizera
Amisi Tambwe

Yanga:

Waliosajiliwa:

Amisi Tambwe
Kpah Sherman
Danny Mrwanda

Waliotemwa

Emerson de Oliviera Roque
Gerson Santos

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s