Chaka Khan: Rihanna ‘Una sauti nzuri si lazima uoneshe mwili wako’

Chaka Khan

Muimbaji mkongwe wa Marekani, Chaka Khan amedai kuwa Rihanna ana sauti ya kutosha kuuza muziki bila hata kutumia mwili wake kufanya hivyo.

Muimbaji huyo mwenye miaka 61 anaamini kuwa si muhimu kwa Rihanna na wasanii wengine kama Ariana Grande kuona ulazima wa kuvua nguo kwenye video zao za muziki au kwenye photoshoots ili kuuza nyimbo zao. Hata hivyo amesema anaelewa kwanini wanafanya hivyo kwakuwa biashara ya muziki imebadilika ukilinganisha na wakati wao.

Kitu kimoja kuhusu wasichana hawa ni kwamba hawahitaji kufanya hivyo vyote. Rihanna walau ana sauti nzuri na anaweza kuuza nyimbo bila kuonesha ngozi zao,” aliliambia jarida la Ahlan.
Tatizo ni kuwa industry imebadilika tangu enzi zangu. Biashara iko tofauti sasa.”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s