Idris Sultan amuahidi Feza Kessy mgao kutoka kwenye $300,000 za Big Brother!

Mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan sio mchoyo wa mkwanja wake alioupata.
Pamoja na kuiahidi Afrika nzima kuwa ataipa chochote (sio cash ofcourse), Feza Kessy anaweza kuwa miongoni mwa watu wachache wa karibu watakaopata mgao kidogo!

Idris amesema Feza alikuwa mtu aliyempa nguvu wakati akiwa ndani ya jumba hilo hivyo yuko tayari kulipa fadhila.

The connection we had in the house from the 1st time we saw each other is plain clear whatever happened you and I were bloody brother and sister from a lost family. You gave me strength and now am ready to give it back whenever you need me i will be there,” Idris alimwambia Feza Kessy kwenye Instagram.

Naye Feza alijibu: Jamaniiii my bro wants to share his money with his sis!!! Who am I to say No ah ah!!! God is good O lol @IdrisSultan.”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s