Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ amtaja Peniel Mungilwa kuwa ndiye mwalimu wake wa Kiingereza

Peniel Mungilwa na Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’

WAKATI kila mtu akiamini mwalimu wake wa lugha ya Kiingereza ni Wema Sepetu ‘Madam’ staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameibuka na kudai aliyemfundisha lugha hiyo ni aliyekuwa mpenzi wake, Peniel Mungilwa‘Diamond aliwataka watu wote waliokuwa wakiamini Wema ndiye mwalimu wake wa ung’eng’e wafute imani hiyo kwani Penny ndiye mpango mzima.

Ujue kila mtu huwa ana hisia zake na wengi wamekuwa wakiishi kwa hisia, nimekuwa nikiambiwa kuwa Wema ana mchango mkubwa katika uzungumzaji wangu wa Kiingereza jambo ambalo si kweli, aliyenifundisha lugha hiyo kwa sehemu kubwa ni Penny maana aliniletea hadi mwalimu ingawa nilikuwa nikimlipa mwenyewe,” alisema Diamond.

Credit GPL

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s