Agness Gerald ‘Masogange’ awatahadharisha wanaume kwa account feki za Twitter na Facebook zinazotumia jina lake

Mindandaoa ya kijamii kuwa na account ni rahisi sana hata ukitaka kuwa nazo zaidi ya moja, mbili nk. Imetokea kwa mastar wengi sana nchini na nje ya nchi kukutana na suala ka usumbufu wa account feki zinazo tumia majina yao kulaghai watu kwa kutaka fedha na hata wakati mwingine kufanya chochote watakacho.

Leo kupitia account yake ya Instagram vido queen wa Bongo ambaye kwa sasa yupo Afrika Kusini. Agnes Gerald ‘Masogange’ ameliongelea suala la account fake zinazotumia jina lake nakusema yakuwa kwa sasa yeye hayupo facebook au hata twitter. Hivyo watu wawe makini na account fake hizo zinazotumia jina lake kuomba fedha kwa watu hasa wanaume.

Hey my beautiful followers I hope mko poa kabisa sorry nilikuwa nataka kuwaambia mm sina account ya fb yoyote wala cko twitter so guys plz kuweni makini ni matapeli hao ambao wanaamua kumchafua mtu na kuomba pesa kwa wanaume plz guys sio mm natumia hizo account ni fake account thank you.

Na hii ndiyo picha aliyo post ikiwa na maneno hayo kuonyesha baadhi ya hizo account fake.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s