Picha: Diamond Platnumz atembelea Ikulu na tuzo zake za #CHOAMVA

Nafasi ya muziki wa Diamond Platnumz imekua kubwa hasa kutokana na baadhi ya Collabo ambazo tumezisikia kuwa kwa sasa wasanii wa nje ndiyo wanaomuomba yeye afanye nao ni good news kutoka kwetu.

December 23 Ikulu ya Tanzania imemkaribisha Diamond Platnumz kwenda kupokea shukrani baada ya kufanikiwa kuwakilisha taifa vizuri kwenye tuzo za Channel o zilizofanyika South Africa wiki chache zilizopita.

Diamond ni miongoni mwa wasanii ambao wamepata mualiko huo yeye pamoja na Mshindi wa Big Brother Africa 2014 Idris ambae nae alialikwa kwenda kuzungumza na Rais Jakaya Kikwete.

Kwenye ujumbe ambao aaliutoa kwenye mtandao wa Instagram mshindi huyo Idris ameandika.

//platform.twitter.com/widgets.js

//platform.twitter.com/widgets.js Tizama picha hapa chini:

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s