Tegemea ngoma mpya kutoka kwa Feza Kessy na Macky2 wa Zambia

Feza Kessy na mwakilishi wa Zambia kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots, rapper Macky2 huenda wamerekodi ngoma pamoja.

Feza alikuwa jijini Lusaka, Zambia hivi karibuni japo hakusema alienda kwaajili gani. Macky2 amepost picha inayoonekana kuwa ni kava ya wimbo akiwa na Feza.
Such a hard worker Macky2 is. God bless your hustle bruv #OG #Kopala #TheyGoKnow #Zambia #Tanzania #OneLove,” ameandika Feza.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s