Picha: Diamond na Zari machozi yawatoka walipotembelea jengo la Makumbusho kuu ya Taifa Nchini Rwanda ‘KIGALI GENOCIDE MEMORIAL’

Kwakifupi, Mauaji ya Kimbari ya Rwanda yalikuwa mauaji ya kihalaiki nchini Rwanda mnamo mwaka wa 1994 ambapo Watutsi na Baadhi ya watu wa kabila la Kihutu waliuliwa na serikali iliyosimamiwa na viongozi wa Kihutu. Katika kipindi cha takriban siku 100, kuanzia kuuliwa kwa Habyarimana na Ntaryamira mnamo tarehe 6 Aprili hadi katikati mwa mwezi Julai, angalau watu 500,000 waliwawa, au karibu asilimia 20% ya idadi ya watu nchini Rwanda wakati huo.
Soma zaidi hapa…

Mwimbaji wa muziki wa Bongo fleva hapa nchini Nasib Abdul Diamond Platnumz‘ na mpenzi wake wa sasa Zari the Boss Lady wapo kwenye ziara nchini Rwanda ambapo jana ndiyo siku waliyo ingia na kubahatika kutembelea jengo la makumbusho ya mahuaji ya Kimbari kama nilivyo kuwekea hapo juu kwa ufupi.

Machozi yaliwatoka mastaa hawa bila ya kujijua pale walipoonyeshwa picha na mifupa ya binadamu iliyohifadhiwa kwenye jengo hilo kutokana na mauaji hayo. Mbali na kuonyeshwa picha na mifupa walibahatika kuona sinema ikionyesha hali alisi ilivyokuwepo wakati huo wa mauaji hayo.

Kupitia account yake msanii Diamond Platnumz ameandika ujumbe wa kuomba amani idumu:
Leo nilipata Bahati ya kutembelea Makumbusho kuu ya Taifa Nchini Rwanda…Dah! Nimeona na kuadithiwa vitu vingi sana vya kusikitisha…Mwenyez Mungu endelea kuilinda na kuipa amani na Upendo Mwingi Rwanda, East Africa na Africa yetu kwa Ujumla….
( Today i got an opportunity to visit one of the Biggest Memorial site in Kigali Rwanda… it’s so sad.. Dear God please Continue to protect and give our luvly Rwanda & the whole Africa Peace and Love ) #KIGALI_GENOCIDE_MEMORIAL

Chini nipicha kutoka account ya instagram ya Diamond Platnumz na Zazi walipokuwa huko.

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

#KIGALI_GENOCIDE_MEMORIAL

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

#KIGALI_GENOCIDE_MEMORIAL

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s