Kim Kardashian akanusha tetesi za kuwa mjamzito, asifia wimbo mpya wa Kanye ambao ni dedication kwa North West

Kim Kardashian ameuanza mwaka mpya kwa kusafisha tetesi zilizosambaa mtandaoni mwishoni mwa 2014 kuwa huenda akawa na ujauzito wa mdogo wake North.

Kupitia Twitter Kim K aliandika:
“Ngoja tusafishe baadhi ya tetesi kabla ya mwaka mpya …. Nimechoka kuona mtandaoni na kiukweli sijui wanayatoa wapi mambo haya!” aliendelea kwenye tweet nyingine, “hapana mimi sio mjamzito”, na kwenye tweet nyingine akaandika “mimi na Kanye hatuna matatizo ya ndoa…”.

//platform.twitter.com/widgets.js

//platform.twitter.com/widgets.js

//platform.twitter.com/widgets.jsWakati huo huo Kanye ameachia wimbo mpya “Only One,” ambao ni dedication kwa mwanaye North West, na Kim aliandika Instagram:

Everyone asks me what my favorite Kanye song is. It’s Only One. Kanye felt like his mom was singing thru him to our daughter. This song makes me cry every time I hear it. He releases it at midnight tonight on iTunes. “Only One” by Kanye West Featuring Paul McCartney.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s