Zuwena Mohammed ‘Shilole’ awajibu wanao ponda pete ya uchumba aliyo vyalishwa na mchumba wake Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’

STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amewavaa baadhi ya watu wanaoponda kitendo cha yeye kukubali kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa siku nyingi, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwa maelezo kuwa ni kama maigizo kwani ndoa hakuna.

Akipiga stori na paparazi wa GPL, Shilole alisema anawashangaa wanaodhani ataishia kuitwa mchumba tu bila kuiona ndoa, akasema anachojua ndoa itafungwa siku si nyingi kwani wanapenda kwa dhati

Kama ilishindikana kwao ni kwao tu, sisi ni watu wazima tunaojielewa na mpaka hapa tulipofikia hakuna kitakachoharibika. Tunapendana hivyo panapo uzima Mungu akijaalia ndoa itafungwa,” alisema Shilole.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s