Baada ya rapper kanye West kutotimiza majukumu ya ‘ndoa’ yadaiwa hali si shwari kwenye ndoa yake na Kim

Ndoa ya mastar wawili kwenye anga la Holywood nchini Marekani Kanye West na Kim Kadarshian imeripotiwa kuwa hatarini kutokana na hali ya Kanye kutotimiza majukumu ya ndoa.

Watu wa karibu na familia ya wawili hao wamesema Kim Kadarshian siku za hivi karibuni amekuwa hana raha kutokana na Yeezy kupoteza hamu ya kuwa naye karibu kutokana na kuwa ‘busy’ na kazi zake za kimuziki na masuala mengine.

Mitandao ya habari za udaku ikiwemo TMZ na The National Enquirer imeandika kuwa Kim Kadarshian amemtaka mume wake kuhudhuria darasa maalum la ushauri nasaha kwa wanandoa ili kuweza kurudisha uhusiano wao katika mstari kabla hali haijawa mbaya zaidi na kusababisha kuvunjika kwa ndoa yao.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s