Binti wa miaka 14 afungiwa ndani na wazazi wake na kubakwa kwa muda wa miaka mitano

Matukio ya wazazi kutesa watoto wao yameendelea kuchukua nafasi katika jamii nyingi dunia hadi kufikia hatua ya watoto kukimbilia katika vituo vya kulelea watoto yatima

Binti mmoja nchini Australia alifungiwa na wazazi wake ndani kwa miaka mitano huku wakitumia nafasi hiyo kumbaka ili kutimiza haja zao.

Lauren Kavanaugh alizuiwa kula na kunyanyaswa kisha kubakwa nyakati wa usiku na mama yake mzazi pamoja na baba yake wa kufikia.

Luren ambaye kwa sasa ana miaka 21 alizungumzia tukio hilo  ambalo amedai limetesa maisha yake kwa kiasi kikubwa huku akiahidi kutoa elimu kwa wasichana wenzake ili wasiweze kupata udhalilishaji kama alioupata yeye.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s