Dayana Nyange, ‘Dayna’ ameibuka na kusema hana mpango wa kufanya kazi na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’

WAKATI  staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, akitafutwa kufanya kolabo na wasanii mbalimbali, nyota wa muziki huo kutoka Moro Town, Dayana Nyange, ‘Dayna’ ameibuka na kusema hana mpango wa kufanya kazi na staa huyo hata kama anafanya vizuri kimataifa.

Akifunguka na Risasi Vibes, Dayna alisema kuwa hajaweka wazo la kumpa kolabo staa huyo kwani hajui kama kuna kazi ambayo anaweza kufanya vizuri ikiwa pindi atakapo mshirikisha, ingawa wapo ambao wanahitaji kufanya naye kazi.

Kwa kweli sijapaga kufanya kazi na msanii huyo na kwangu sitazami eti anafanya vizuri nje na mimi nimpe kazi yangu hapana, nataka msanii ambaye anaweza kusimama kwenye ngoma yangu, bila hivyo bora nifanye mwenyewe,” alisema Dayna.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s