Rapper Joh Makini kutoka Weusi Kampuni awataja Nisher na Adam Juma ndio ma-director wa TZ anaowakubali zaidi

Rapper Joh Makini kutoka Weusi Kampuni, amesema kuwa kwa Tanzania ni waongozaji wawili tu wa video ambao anaweza kuwapa dhamana ya kazi zake.

Akizungumza na Global TV hivi karibuni, Joh amesema ingawa kuna wengine wadogo ambao wanachipukia lakini Nisher na Adam Juma ndio waongozaji wa video anaowakubali Tanzania.

Mimi kwa sasa hivi naona kama kuna ma-director wawili ambao mimi ninaweza nikawapa dhamana ambao ni Nisher na Adam Juma, wapo up-coming directors kama Hanscanna wanakuja sijui kama ulishawai kuona video zao? Lakini mimi nimeshaziona, niwazuri vijana wadogo lakini wanajituma kweli kweli wale kama wakipata support, nafikiri wanakwamishwa na equipment,” alisema Joh Makini.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s