Baada ya ngoma ya Diamond Platnumz ‘Nasema nawee’ kuvuja, Haya ndiyo maneno ya Babu Tale

Ule Ugonjwa wa kuvuja kwa single za wasanii ambazo muda wake haujafika time hii imemkuta Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz, wimbo huo uliopewa jina la Nasema Nawe umesambaa wiki hii kwenye baadhi ya mitandao ikiwemo blogs pamoja na mitandao ya kijamii.

Akiongea na tovuti ya MillardAyo, Babu Tale amesema binafsi ameshangaa  baaada ya kusikia kuwa Diamond ametoa wimbo mpya aliourekodi kwa producer Tuddy Thomas.

Ni Kweli wimbo umevuja ila sio official yenu sisi hatuwezi kuchukua uamuzi wowote ila tutaufanyia mastering na tuta u realese kama official na wala hatuwezi kumlaumu producer Tuddy Thomas’– alisema Babu Tale.

Huu ndio wimbo uliovuja wa Diamond Platnumz uitwao Nasema Nawe:
http://www.hulkshare.com/embed.php?fn=okddhhyxy22o Credit Millard Ayo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s