Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya brazil Ronaldo Luís Nazário de Lima anatarajia kurejea tena dimbani

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya brazil Ronaldo Luís Nazário de Lima anatarajia kurejea tena dimbani.

De lima ameahidi kupunguza mwili wake kwa mazoezi kwa lengo la kurejea uwanjani kukipiga na timu Fort Lauderdale inayocheza ligi daraja la pili nchi Marekani.

Akizungumza na waandishi wa habari Ronaldo mwenye miaka 38 amesema “kucheza soka lazima uwe na mwili mzuri wa nitajaribu ni changamoto nina uhakika nitaisaidia ligi na timu.”
Ronaldo alitwaa ubigwa wa kombe la dunia mara mbili mwaka 1994 na 2002 akiwa na kikosi cha Brazil.

Amewahi kuvitumikia vilabu vya Barcelona, PSV Eindhoven, Inter Milan and Real Madrid kwa mafanikio makubwa sana.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s