Aslay aeleza jinsi vijana wa Temeke wanaotaka kuichafua Yamoto Band

Muimbaji wa Yamoto Band, Aslay amesema kuna vijana wa Temeke walitaka kuwachafulia jina lao pamoja na kuwafanyia fujo.

Aslay aliweka wazi hofu yake hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram.

Yamoto_band tulipotoka anajua Mungu pamoja na uongozi wetu mpaka hapa tulipofikia japo tunapokwenda anajua mungu pekee, na katika kila aina ya kazi hapakosi changamoto. Mi nafikili sio wote wanaotupigia makofi wanamaanisha kwamba wanatupenda bali inawabidi wapige makofi kutokana na kile kizuri tunachokifanya, ndio maana wanatengenezwa watu ili washindane na sisi wajue mwisho wetu ni lini. Sijakataza watu wasifanye aina ya mziki tunaoufanya bali nakataza watu wanaofanya huo mziki kwaajili ya kutafuta bifu na usuper star kupitia sisi me nasema tufanye kazi ili tupate pesa za kusaidia matatizo yetu na si kuleta matatizo baadaye,” ameandika.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s