Mabeste ataja ukweli wa kuugua kwa mke wake na aliyejaribu kumuua mke wake na mtoto!

Rapper Mabeste ameshare kile alichoita “ukweli wa kuuguwa kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!”

Hivi karibuni rapper huyo alielezea kwa kirefu jinsi mke wake Lisa Karl Fickenscher alivyougua kwa muda mrefu mara baada ya kujifungua mtoto wao Kendrick, kiasi cha kufikiri angempoteza.

Mabeste amepost maelezo ya mke wake Lisa akisahihisha taarifa zilizoruka kwenye U heard ya XXL kupitia Clouds Fm kuwa alirogwa, na kuelezea jinsi ambavyo mtu wa karibu na Mabeste alivyojaribu kumuua yeye na mtoto.

Haya ndio maelezo ya Lisa ambayo Mabeste amepost Facebook:

“Imebidi my wife Lisa Karl Fickenscher afunguke baada ya false story about her!

Naomba niweke clear about interview ya u heard aliyonifanyia soudy brown…..its true nimeumwa mda mrefu nilikua mtu wa hosp na kanisani tuu kumuomba Mungu anipe uzima! Nilijifungua vbaya then kuna mistakes zilifanyika wkt wa kujifungua zkaniletea matatzo!

As usual cc wanawake tunakutana na meng wkt wa mimba na kujifungua! sitaki hata kukumbuka! ni kweli mtu wa karibu wa mabeste alijaribu kuniua mm na mtoto wangu!! Sitapenda kumtaja coz tulisham samehe!! Alicho kifanya huyo mtu alifungua nati za gari yangu akazilegeza…alitoa break za gari na alijaribu kututengenezea ajali ya kugongwa na roli!

Thank God mtoto nlikua nimemuweka kwenye car seat amefunga mkanda na mm nilifunga mkanda….so nilipoona roli linatufata nilijitahid kulikwepa nikaenda kugonga ukuta…..so mm na mtoto tukapona tulihis ni gari tuu imezngua ila badae kuna mtu wa karibu alituambia ni flani aliyefanya na tulipomchunguza tulijua ni kweli mabeste alipo m face na evidence alikiri kweli na akaomba msamaha so sisi tukaendelea na life yetu!!!

Inauma na sitak kukumbuka coz aliyefanya hivyo cjawai kumkosea kitu wala mabeste hajawai kumkosea!! Ila si kama alivyozungumza soudy brown kua nimerogwa!! Na aliponiuliza nimepigwa kipapai I thought ana maanisha ajali thats why nikaitikia!! Inawezekana soudy amepokea taarifa ambazo c sahihi na wkt ananiuliza akili yangu ili lenga ajali na kuumwa kwa mda mrefu nikajibu kama nilivyojibu ila badae tena naskia ni habari za kurogwa duh!! Thats a false news.”

Hii ni story iliyo andikwa na Bongo 5 December 21, 2014.

Mabeste: Mabeste asimulia mke wake alivyougua kwa muda mrefu hadi kudhani atampoteza.

Rapper Mabeste ameeleza kwa urefu jinsi mke wake alivyougua kwa muda mrefu mara tu baada ya kujifungua mtoto wao wa kwanza, Kendrick.

Mabeste amesema mke wake ambaye pia ndio meneja wake alizidiwa hadi ikafika wakati akahisi atampoteza.

Kupitia Instagram, hivi ndivyo alivyoandika:

“Wabongo hawakosi cha kusema! Okay its true my fans nime wa promise sana juu ya ngoma mpya, mom & dad tv show, then kimya kimekua kingi! Ukweli wa ukimya wangu huu hapa!! Tangia nitoke bhits managers wamejitokeza weng sana but kiukweli asilimia 90 yao niligundua wanataka kunitumia tu….so mwisho siku nikaona bora mke wangu ndo awe Manager wangu coz itani protect!! She is very good …hard work,creative,hustler,respectful ana kila sababu ya kua manager wangu! Hata baadhi ya wasanii wenzangu ambao wanamfaham my wife wanajua hilo.

So hizi ni rumors zinazo sambaa kua my wife kanipoteza kwenye game! Ukweli ambao sijawai usema nimeuficha kwa mda mrefu ni huu wife wangu ameumwa mda mrefu sana ever since kajifungua my son hakua sawa….then hali ikawa mbaya zaid five months ago! So I had to be there for her,ilifikia stage nikahis I will loose her! I lost my mom nikiwa mdogo I didn’t want the same for my son….mda mwingi nimeutumia kumuuguza my wife na kucheer na mtoto wangu!! Hapo awali nlikua napost picha za wife nikisema get well soon na zingine nikiwa church!!

Nlitumia mda wangu kuuguza na nikishinda church kumuomba Mungu! So kazi zisingeweza kwenda hata kama ningekua Bhits au ningekua na manager mwingine!! Nilificha nikasingizia vngine but coz lies n rumors zmekua nyingi lemmi b open to my fans, now Mungu amejibu maombi yuko poa sana! Kuna sister mmoja wa clouds mwaija  alishuhudia my wife alivyoteseka!! Wasaniii wenzangu wachache ambao ni friends wa wife, godzilla,young D,quick racka, cyrill , hemed phd etc: wanajua lisa  a.k.a mama teen ni creative hustler, na kabla ya kua na mabeste alikua anafanya projects zake na hao artist nilio wataja walikua waki mpa support!!

Pia mtu mwenye akili zake akiangalia interview yangu na Bhits ambayo iko YouTube utajua tuu she is more that!! Events zangu zote wife ndo alizi plan!  Behind every successful Men there is a woman!! Nisiongee sana kapona acha tuone 2015!  Mlio dhani mabeste kaishiwa mimi mwenzenu ndo kwanza safari inaanza.”.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s