Mashine za kunyolea saluni zinaambukiza VVU?

Swali: Je mashine za kunyolea saluni zinaambukiza VVU?

Jibu: Ili uweze kupata maambukizi unahitaji kugusana na majimaji ya mwilini au damu ya mtu mwenye
VVU kupitia katika michubuko, hivyo basi kama hili litatokea uwezekano upo. Kwa upande wawatengenezaji wamechukua tahadhari katika hili, mashine kutosababisha michubuko, pia kuviosha vifaa hivyo kwa joto na kemikali kabla ya kutumia mwingine huchangia kupunguza maambukizi.
Maambukizi ya VVU kwa mashine za kunyolea ni 2% ya maambukizi yote.

Credit Manyanda Healthy

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s